This is possible because of donations from our community. If you value the privacy that Tor offers yourself and others, please make a donation today. You’ll ensure Tor continues to provide online privacy to everyone who needs it.
Inaonekana kwa sasa hakuna njia ya kuendesha Tor Browser kwenye windo ya simu ya zamani ila kwenye kesi ya brandi mpya ya Microsoft/kukuza simu, baadhi ya hatua kwenye Tor Browser for Android inaweza kufuatwa.
The Guardian Project inadumisha Orbot ( na sehemu zingine za maombi ya kibinafsi) kwenye Android. Taarifa nyingi zinaweza kupatikana kwenyeGuardian Project's website.
Iliyotolewa na Tor Browser kwa Android (https://www.torproject.org/download/#android)Orfox inajaribu.
Itakuwepo, hivi punde. Kwa wakati huu unaweza kutumia F-Droid kupakua Tor Browser kwa ajili ya Android kwa kuwezesha Guardian Project's Repository.
We recommend iOS app Onion Browser which relies on Orbot for a secure connection to Tor. Onion Browser and Orbot are open source, use Tor routing, and are developed by someone who works closely with the Tor Project. Hatahivyo, Apple huitaji kivinjari katika iOS kutumia kitu kinaitwa Webkit, ambayo huzuia Onion Browser kuwa na ulinzi wa faragha kama uliopo katika Tor Browser.
Jifunze zaidi kuhusu Onion Kivinjari. Download Onion Browser and Orbot from the App Store.
Ingawa Tor Browser kwa Android na Orbot vyote ni vizuri, hutoa huduma tofauti. Tor Browser kwa ajili ya Android ni kama ya Tor Browser kwenye kompyuta, lakini kwenye kifaa chako cha mkononi. Ni kivinjari cha kuacha kimoja kinachotumia mtandao wa Tor na kujaribu kuwa na utambulisho usiojulikana kadri inavyowezekana. Orbot on the other hand is a proxy that will enable you to send the data from your other applications (E-Mail clients, instant messaging apps, etc.) through the Tor network; a version of Orbot is also inside of Tor Browser for Android, and is what enables it to connect to the Tor network. That version, however, does not enable you to send other apps outside of Tor Browser for Android through it. inategemeana na ni jinsi gani unatumia mtandao wa Tor, kama ni moja au zote kwa pamoja inaweza kuwa chaguo zuri.
Ndio, kuna toleo la Tor Browser inapatikana hasa kwa Android. Hifadhi Tor Browser kwa Android kila unachohitaji unatakiwa utumie Tor katika kifaa chako cha Android.
The Guardian Project inatoa programu Orbot ambayo inaweza kutumika kwenye programu zingine kwenye kifaa chako juu ya mtandao wa Tor, hata ivyo Tor Browser kwa Android inatakiwa ku browse tovuti kwa kutumia Tor.
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
Alama ya biashara, tangazo la hatimiliki, na sheria za kutumiwa na wahusika wasio wa moja kwa moja zinaweza kupatikana katika FAQ yetu.