Kwa maneno rahisi, inafanya kazi kama hivi:
- Hapa kuna faili la msingi la alama za kipekee lenye utambulisho ed25519 huitwa "ed25519_master_id_secret_key".
Hili ndilo la muhimu zaidi, kwahiyo hakikisha unaweza ku backup mahali salama - faili nyeti na inapaswa kulindwa.
Tor inaweza kusimba kwa njia fiche kwako kama ukizalisha wa manual na uweke neno siri wakati ikiuliza.
- Ufunguo wa kutia sahihi wa muda wa wastani unaoitwa "ed25519_signing_secret_key" huundwa kwa matumizi ya Tor.
Pia, cheti kinatokana na jina "ed25519_signing_cert" ambayo imetiwa saini na ufunguo msingi wa siri wa kitambulisho na inathibitisha kuwa ufunguo wa kutia saini wa muda wa kati ni halali kwa kipindi fulani cha muda.
Uhalali wa cgaguo la msingi ni siku 30, lakin hii inaweza kua imeboreshwa kwa mpangilio "SigningKeyLifetime N siku|wiki|miezi" kwa torrc.
- Pia kuna ufunguo wa mwanzo wa umma unaoitwa "ed25519_master_id_public_key", ndio utambulisho halisi wa relay unaotangazwa kwenye mtandao.
Hii moja sio nyeti na inaweza kua rahisi kutoka "ed5519_master_id_secret_key".
Tor itahitaji upatikanaji wa kati ufunguo wa kusaini na cheti ikiwa tu ni halali, kwa hivyo ufunguo msingi wa siri wa utambulisho unaweza kuwekwa nje ya DataDirectory/funguo, kwenye hifadhi ya midia au kompyuta tofauti.
Utatakiwa kuifanya mpya tena saini ya funguo na cheti kabla ya kuisha muda wake vinginevyo hatua za Tor kwenye relay itatoka katika muda wake wa kuisha kutumika.
kipengele hiki ni hiari, hauwezi kukitumia isipokua ukikihitaji.
Ikiwa unataka relay kuendelea bila kushughulikiwa kwa muda bila kua na manual kwa kipindi cha kati kutia sahihi kusasisha ufunguo mara kwa mara, bora zaidi kuacha ufunguo msingi wa siri wa utambulisho katika DataDirectory/funguo, weka tu nakala rudufu ikiwa utahitaji kukisakinisha tena.
Ikiwa unataka kutumia kipengele hiki, unaweza kushauriana zaididetailed guide kwenye mada.